Aliyekuwa Mwanamuziki wa nyimbo za taarab nchini, Mzee Yusuph.
Aliyekuwa Mwanamuziki wa nyimbo za taarab nchini, Mzee Yusuph, amefiwa na mama yake mzazi, Mwajuma Mzee.
Taarifa kutoka kwa dada wa Mzee Yusuph, Hadija Yusuph amesema mama yao alifariki nyumbani kwake Michezani kisiwani Unguja, Zanzibar jana jioni na kumzika leo leo saa nne asubuhi katika makabuli ya Mwanakwereke kisiwani humo.
HABARI NA RICHARD BUKOS | GPL
The post Breaking News: Mzee Yusuf Afiwa na Mama Yake, Azikwa Unguja appeared first on Global Publishers.