Zuberi Kuchauka akipongezwa na msimamizi wa uchaguzi baada ya kutangazwa.
MGOMBEA Ubunge Jimbo la Liwale kupitia CCM, Zuberi Kuchauka amefanikiwa kupata ushindi wa kura 34,582 sawa na asilimia 85.81%, kabla ya kugombea kupitia CCM Kuchauka alikuwa Mbunge wa Jimbo hilo kwa tiketi ya CUF na akatangaza kujiuzulu kisha kugombea tena.
The post Breaking News: Zuberi Kuchauka Wa CCM Ashinda Ubunge Liwale appeared first on Global Publishers.