Ikiwa ni takribani siku nne zimepita tangu mfanyabiashara maarufu nchini, Mohamed Dewji, atekwe na watu wasiojulikana, Familia yake imeitisha mkutano na waandishi wa habari na kuzungumzia suala hilo. Fuatilia hapo chini