NEWS

26 Oktoba 2018

Maimatha Atolea Maneno Mazito Wema "Ila Shogaangu kwa kuyatindinganya tuu Badirika"

Maimatha Atolea Maneno Mazito Wema "Ila Shogaangu kwa kuyatindinganya tuu Badirika"
Mwanadada Mtafutaji mjini Maimatha wa Jesse ameamua kuyatoa ya moyoni kwa rafiki yake Wema sepetu kwa sakata lake lililozua gumzo mitandaoni baada ya kusambaza video chafu akifanya yake na mpenzi wake.

Kupitia ukrasa wake wa instagramu ameamua kumkanya na kukshauri kuwa kwa sasa amekua hivyo aache mambo hayo kwani yatamuharibia sifa kwa mwanaume wa kweli mwenye nia ya kumuoa.

"Ila Shogaangu kwa kuyatindinganya tuu....nakupa mia ya mia.....pole na maswaibu mpenzi.....yataisha.....ila nakushauri uache mchezo wa kujirekodi ukiwa faragha..... Badilika....acha.....
Japo unaonekana umezoea kujipiga picha .....narudia acha....
Umri wako unakwenda....umefikia miaka ya kuolewa sasa.....tulia mtu sahihi analetwa na Allah......kikubwa chunga magroup uliyonayo....jiheshimu....wanaume wapo very selective.... Hivyo shtuka mapema usije ukakosa mambo matamu. .......
Kiukweli naamini wa Tz wamekusamehe..........
Stay blessed ✌"