NEWS

26 Oktoba 2018

Videoza Ngono… Huenda Amber Rutty Akafungwa Maisha Jela

KUFUATIA video zake chafu kusambaa mitandaoni akifanya mapenzi na mwanamme kinyume cha maumbile yake, video queen maarufu Bongo, Amber Rutty huenda akakumbana na adhabu ya kifungo cha maisha jela au miaka 30 jela.

 

Hayo yameelezwa na Wakili Alberto Msando kupitia ukurasa wake wa Instagram huku akiambatanisha sheria ya nchi inayoweza kutumika kumtia hatiani msanii huyo iwapo atafikishwa mahakamani na kukutwa na hatia ya kumruhusu mwanamme huyo kumuingilia kinyume cha maumbile.

 

Katika sheria hiyo ya makosa ya kinyume cha maumbile, Msando ameandika; Kifungu cha 154…adhabu ni kifungo cha maisha au miaka isiyopungua 30.”

 

The post Videoza Ngono… Huenda Amber Rutty Akafungwa Maisha Jela appeared first on Global Publishers.