Aliyekuwa Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul.
Mbunge wa Babati Mjini ambaye pia ni Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa Manyara na Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Kanda ya Kaskazini, Pauline Gekul amejivua uanachama wa Chadema, na kujiuzulu nafasi zote za uongozi alizokuwa nazo usiku huu na kujiunga na chama cha mapinduzi (CCM).

The post Mbunge wa Chadema Babati Mjini Ajivua Ubunge, Atimukia CCM appeared first on Global Publishers.