NEWS

13 Oktoba 2018

Muunguzi Achomoa Dripu ya Maji Kwa Mgonjwa na Kwenda Kuiuza


Muuguzi mmoja katika Hospitali ya Wilaya ya Tunduru, mkoani Ruvuma ametuhumiwa kumchomoa mgonjwa dripu ya maji na kwenda kumuuzia mgonjwa
mwingine kwa bei ya Sh. 5,000.