
Msanii Ferooz aliyefanya vizuri na nyimbo ya Starehe mwaka 2003,amerudi tena na ujio wa nyimbo yake mpya inaitwa Mapigo.
Audio imefanywa na Producer Mocco na video imeongozwa na Kilonzo.
Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa ingia Global App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini:


Android ===>GooglePlay
iOS ===>AppStore
Itazame hapa.
The post VIDEO | Ferooz – Mapigo appeared first on Global Publishers.
