NEWS

14 Desemba 2018

Basi La Simba Lapata Ajali Zambia

Basi la klabu ya soka ya Simba ambalo limebeba mashabiki wa timu hiyo kwenda mjini Kitwe Zambia limepata ajali baada ya kugongana na roli maeneo ya Kapiri Mposhi. 

Imeelezwa kuwa hakuna madhara makubwa yaliyotokea. Simba itacheza na Nkana FC kesho.