
Kimya cha Darassa kimenyamazishwa na nyimbo zake mbili alizozitoa Leo Disemba 14 siku ya ijumaa ikiwemo, ‘Tofauti na Achia Njia’
Now ameileta video ya wimbo wake mpya ‘Acha Njia‘
Video imeongozwa na Justin Campos, audio imefanywa na ma producer wawili akiwemo MrVs na Abbah Process.
Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa ingia Global App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini:



Android ===>GooglePlay
iOS ===>AppStore
Itazame hapa.
The post Darassa Ameileta Rasmi ‘Acha Njia’ Video Mpya appeared first on Global Publishers.
