Bibi maarufu katika jiji la Arusha mwenye misemo yote ya vijana wa Arusha, ambaye ni mfanyabiashara wa ndizi anayefahamika kwa jina maarufu kama ‘Chalii wa AR’ amefunguka kuhusu mkwanja ambao aliutengeneza Babu wa Loliondo kupitia kikombe cha cha Tsh 500 kwa ajili ya kuponya magonjwa yote sugu.
VIDEO: MSIKIE CHALII AKIFUNGUKA HAPA
The post Bibi Msela ‘Chalii wa Arusha’ Akimuelezea Babu wa Loliondo – Video appeared first on Global Publishers.