Siri imefichuka, RC makonda amedai kuwa Wabunge wa Ubungo na Kibamba walimfuata kuomba kusajiliwa CCM. “Waliposikia lile tamko la Polepole…yule wa Kibamba na Ubungo walinifuata na kuniambia tutafanyaje baada ya ile deadline kupita? nikawaambia ngoja tuangalie kama kunausajili wa dirishani…
The post BREAKING: MBUNGE WA UBUNGO, KIBAMBA WAOMBA KUSAJILIWA CCM – VIDEO appeared first on Global Publishers.