NEWS

30 Desemba 2018

CHADEMA WATAKIWA KUSITISHA MIKUTANO NA ZIARA HAI

 

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Vincent Mashinji.

Mkuu wa Wilaya ya Hai, amewataka viongozi wa CHADEMA wasitishe mikutano na ziara zao katika Wilaya hiyo Kwa mujibu wa barua iliyoandikwa na Katibu Tawala wa Wilaya hiyo haijaeleza ni sababu zipi zimepelekea katazo hilo

The post CHADEMA WATAKIWA KUSITISHA MIKUTANO NA ZIARA HAI appeared first on Global Publishers.