Alikiba alivyoingizwa klabu hiyo na mabaunsa wake.
Usiku wa kuamkia leo mashabiki wa burudani walifurika ndani ya Club Next Door Arena iliyopo Masaki jijini Dar ambapo kulikuwa na tamasha la funga mwaka lililoandaliwa na mwanamuziki wa kizazi kipya, Ali Kiba na kundi lake, tamasha hilo lilikwenda kwa jina la Funga Mwaka na King Kiba. Katika onesho hilo sambamba Alikiba na wasanii wake wengine waliopiga shoo hiyo ni pamoja na Mr. Blue, Bill Nass, MwanaFA na Dogo Aslay.
Akiwapa ‘hi’ mashabiki wakati akiimba.
Mashabiki wakionesha picha ya AliKiba kuonesha kumsapoti.
Akiendelea kukamua.
Papii Kocha naye alipopanda jukwaani kukamua na Alikiba.
Mshabiki wakionesha kupandwa na mizuka.
HABARI/ PICHA: RICHARD BUKOS / GPL
The post FUNGA MWAKA NA KING KIBA ILIKUWA HAPATOSHI NEXT DOOR appeared first on Global Publishers.