Yamebaki masaa machache tu tuweze kuuaga mwaka 2018 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2019.
Global TV tumekuandalia matukio kumi makubwa yaliyowahi kutokea ndani ya mwaka 2018 na yakatikisa nchini ikiwa ni pamoja na matukio ya utekaji, Mauaji, Ajali, Vifo na mengine mengi.
The post HIVI Ndivyo, Mauaji, Utekaji, Ajali ,Vifo, Vilivyo Umiza 2018 – VIDEO appeared first on Global Publishers.