NEWS

11 Desemba 2018

Huyu ndie Sultan Suleiman wa Tamthilia ya Sultan (Video)

Leo December 11, 2018 Nimekuandalia historia ya Halit Ergenc maarufu wa jina Sultan Suleiman ambaye kwa sasa jina lake limekua famous Tanzania na hii imetokana na Tamthilia ya Sultan inayoonyeshwa Azam TV. Bonyeza PLAY hapa chini kuifahamu historia yake.

VIDEO: