Alikiba akikamua pamoja na Kayumba ambaye ni timu yake.
Haya ndiyo yalikuwa makeke ya Abdul Kiba alipovamia jukwaa.
Shangwe za mashabiki.
Dogo Aslay akipagawisha mashabiki.
MwanaFA naye alikamua ile mbaya baada ya kupanda jukwaani na Alikiba.
Billnass naye akifanya yake kwenye jukwaa hilo.
The post MAKAMUZI YA MR BLUE, MWANA FA USIPIME NEXT DOOR appeared first on Global Publishers.