Mapokezi ya Mkurugenzi wa Wasafi Classic Baby ‘WCB’, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na wasanii wanafanya shoo kwenye Tamasha la Wasafi Festival jijini Mwanza Usipime.
Tamasha la Wasafi Festival mkoani Mwanza linatarajiwa kufanyika Jumamosi ya Desemba 15, 2018 katika Uwanja wa CCM Kirumba, ambapo steji itashambuliwa na wasanii kibao akiwemo Diamond mwenyewe, Rayvanny, Harmonize, Mbosso, Young Killer, Gigy na wasanii wengine.
Mkurugenzi wa Wasafi Classic Baby ‘WCB’, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwasalimia wananchi wa Jiji la Mwanza.
…Umati wa wananchi wakimshangilia Diamond.

The post MAPOKEZI YA DIAMOND JIJINI MWANZA SI MCHEZO! (PICHA +VIDEO) appeared first on Global Publishers.