Rais huyo wa Rwanda amesema baadhi ya nchi za Afrika Mashariki zinashiriki katika vitendo vya kuhujumu usalama wa taifa lake Asema zinatekeleza mauaji dhidi ya raia wa Rwanda(Wanyarwanda) wanaotembelea katika nchi hizo