NEWS

31 Desemba 2018

MIJI 10 MIKONGWE ZAIDI DUNIANI – VIDEO

Dunia imekua ikiongezeka na watu wakiongezeka na siku zinavyozidi kwenda tunaona miji, sehemu na nchi zinavyozidi kukua na kubadilika.

kama ilivyo kwa binadamu basi hata katika miji pia ipo ile mikongwe ambayo itabaki kuwa ndio mikongwe na mikuu zaidi duniani kote.

 

The post MIJI 10 MIKONGWE ZAIDI DUNIANI – VIDEO appeared first on Global Publishers.