NEWS

10 Desemba 2018

Mwanamke Afariki Baada ya Kilipukiwa na Simu ya Mkononi


HOMA BAY, KENYA: Mwanamke wa miaka 45 alikuwa amelala na Mumewe huku simu hiyo iliyokuwa ikichajiwa ikiwa kitandani

Inaelezwa kuwa chanzo cha mlipuko huo ni radi iliyopiga kwenye mfumo wa umeme wa jua wa nyumba hiyo na hatimaye kusafiri hadi kwenye simu

Mumewe alimkimbiza kwenye kituo cha Afya cha Ndiru lakini Mwanamke huyo alifariki

Radi hiyo imesababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha katika Kaunti hiyo