NEWS

30 Desemba 2018

Tanzania Yaongoza Kiuchumi Kwenye Nchi Za SADC -Video


Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Philipo Mpango leo ametoa  taarifa ya hali ya uchumi nchini na utekelezaji wa bajeti ya serikali kwa kipindi cha nusu mwaka amesema kuwa Tanzania inaongoza kupanda kwa uchumi kwa nchi za SADC kwa wastani aslimia 7.1 kwa mwaka ukilinganisha na wastani wa 7.%0 kwa miaka miwili iliyopita 2015/2016

The post Tanzania Yaongoza Kiuchumi Kwenye Nchi Za SADC -Video appeared first on Global Publishers.