Shirikisho la soka Tanzania leo Jumanne ya December 11 2018 limeamua kutoa tamko kuhusiana na kilichoandikwa katika gazeti la ‘Tanzanite’ likilituhumu shirikisho hilo kutumiwa pesa kinyume na taratibu zaidi ya Tsh Milioni 300