Write-Protect ni ulinzi unaowekwa kwenye FlashDisk au Memory Card isiweze kufanyiwa mabadiliko yoyote kama kuongeza Data, Kufuta au Ku-Format. Bahati mbaya sana hiyo kitu wakati mwingine husababishwa na uwepo wa virusi kwenye hiyo flashi yako.
Kuna njia nyingi ambazo zinatumika kuondoa writeProtect, nitatoa njia kadhaa tu ambazo zinaweza kukusaidia.
1. Njia ya Kwanza: Hakikisha Flash yako au memory Card yako haina virusi. Njia rahis ya kulijua hilo ni kuiscan kwa kutumia Antivirus .Kama hiyo haitatibu tatizo, basi tazama hatua ya pili.
2. Njia ya Pili: Angalia Muundo wa flash yako. Kuna flash zingine zina switch ya kubonyeza kuruhusu au kuzuia Write Ptotection. Tazama hii picha. Kama hii pia haitatibu tatizo, basi tazama hatua ya tatu.
Njia ya tatu: Tumia Window Registry.
Bongeza Start kwenye compunter yako; kisha andika Regedit.exe. ifungue hiyo kitu
Ikifunguka, nenda moja kwa moja hadi kwenye hii point;
Computer\HKEY_LOCAL_MACHINE\SYSTEM\CurrentControlSet\Control\StorageDevicePolicies
Ukifika hapo utakuta value yake ni 1; Ibadili iwe 0. Bonyeza Save kisha chomoa flash au memory card yako kisha iwashe upya computer yako yako.
Njia ziko nyingi saaana. Hapo nimeelezea Chache.
<<Ingia Hapa Kuona Njia zote>>
Njia ziko nyingi saaana. Hapo nimeelezea Chache.
<<Ingia Hapa Kuona Njia zote>>
Hadi Hapo Utakuwa umefanikwa kuondoa WriteProtect kwenye FlashDisk yako.
Endelea kuwa nasi kujifunza mautundu mbalimbali kuhusu technology.
Usisahau kuinstall app yetu kwa habari motomoto. Ingia playstore kisha search MPEKUZI utaipata.
Endelea kuwa nasi kujifunza mautundu mbalimbali kuhusu technology.
Usisahau kuinstall app yetu kwa habari motomoto. Ingia playstore kisha search MPEKUZI utaipata.