Msanii wa muziki Bongo, Shetta anakukaribisha kutazama video ya wimbo wake mpya uitwao Hatufanani ambao amewashirikisha Jux na Mr. Blue. Itazame hapa.