Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola.
BAADA ya kuwepo kwa akaunti feki ya Mtandao wa Kijamii wa Instagra, ambao ulikuwa unatoa taarifa mbalimbali kwa jamii kuhusu Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi na Wizara kwa ujumla, kuanzia leo Disemba 30, 2018, Wizara inatangaza rasmi kwa jamii akaunti halali zilizosajiliwa kwa jina la Mheshimiwa Waziri Kangi Lugola kama ifuatavyo:-
officialkangi_lugola (Instagram)
@kangi_lugola (Twitter)

The post WIZARA YATANGAZA AKAUNTI RASMI ZA WAZIRI KANGI LUGOLA appeared first on Global Publishers.