Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Goodluck Gozbert akiimba kwa hisia kali nyimbo zake kwenye mkesha wa mwaka mpya wa 2019 uwanja wa Taifa wa Dar es Salaam.
…Gozbert akiimba nyimbo zake kwenye mkesha wa mwaka mpya wa 2019 uwanja wa Taifa wa Dar es Salaam.
Taswira ilivyoonekana uwanjani hapo.
Hali halisi ilivyokuwa.
Wimbo wa Taifa ukiimbwa baada ya kutimia saa 5:59 usiku wa Desemba 2018 kuukaribisha mwaka mpya wa 2019.
Gozbert akiendelea kuimba.
Mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Nigeria naye akitoa burudani kwa waumini waliofika kwenye mkesha wa kuabudu na kuimba.
Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Goodluck Gozbert ameacha historia kubwa katika mashabiki wake wa muziki wa injili baada ya kuwaburudisha vilivyo kwenye mkesha wa kumaliza mwaka wa 2018 kuingia mwaka 2019.
Gezbert ametoa burudani ya aina yake kwenye mkesha wa kuabudu na kuimba uliofanyika kwenye uwanja wa mpira wa Taifa jijini Dar es Salaam.
The post GOODLUCK GOZBERT AACHA HISTORIA MKESHA WA MWAKA MPYA TAIFA appeared first on Global Publishers.