Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Geita, Modest Apolinary amesema Aliyekuwa Mhandisi wa Halmashauri ya Mji wa Geita, Idelphonce Zilila, atafikishwa mahakamani kutokana na kutosimamia vizuri ujenzi wa Zahanati ya Nyanguku baada ya Jengo hilo kuonyesha nyufa nyingi ikiwa ni miezi kumi tu tangu lianze kutumika.
Aidha Amesema jengo la Zahanati hiyo limegharimu kiasi cha milioni 200 kukamilika kabla ya kuanza kuonyesha Nyufa.
The post KIMENUKA! Mkurugenzi Kumburuza Mhandisi Kizimbani! – VIDEO appeared first on Global Publishers.