WAKALI wawili wasioshikika kwenye Muziki wa Hip Hop Bongo, Roma Mkatoliki pamoja na Stamina wanaounda Kundi la Rostam pamoja na mwanadada, Maua Sama, katika mkesha wa Mwaka Mpya wanafanya shoo ya kufuru inayotambulika kama Tunafunga Jumla.
Shoo hiyo imefanyika katika Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala- Zakhem jijini Dar.
The post LIVE: Balaa la MAUA SAMA Akifunga mwaka 2018 – VIDEO appeared first on Global Publishers.