NEWS

2 Januari 2019

Picha: Rais Kabila Akiwa na Mgombea Urais wa Sasa Katika Kambi ya Mgambo Tanzania


Pichani ni Rais wa sasa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo(DRC), Joseph Kabila akiwa na mgombea wa Urais kupitia chama tawala, Emmanuel Shadary

Inadaiwa picha hii ilipigwa walipokuwa nchini kwenye mafunzo ya 'Oparesheni Vyama Vingi 1992/93' iliyofanywa na Jeshi la Kujenga Taifa, Kambi ya Mgambo

Picha hiyo ilipigwa kwenye shamba la Mihogo la Gendagenda

Ikumbukwe pia Rais Kabila alisoma shule ya sekondari, Sangu iliyopo Jijini Mbeya