NEWS

2 Januari 2019

SAMAKI WA AJABU AZUA GUMZO BONGO – VIDEO

SAMAKI mkubwa na wa ajabu ameibuka na kuzua gumzo nchini huku akiwaacha wananchi midomo wazi kutokana na ukubwa wa umbo lake jambo ambalo ni tofauti na samaki wengine waliyozoeleka machoni mwa watu.

Licha ya kutojulikana samaki huyo amenaswa katika mkoa gani, umati wa wananchi wameonekana kwenye video wakimbeba na kumpandisha kwenye gari lakini haijafahamika walimpeleka wapi.

=======

RIPOTA ni You Tube Channel ya Jamii, inakupa nafasi wewe mdau ku share habari na matukio ya kipekee na wenzio popote walipo duniani, kwa kutumia simu yako ya mkononi. Popote ulipo unapokutana na tukio ambalo unaweza kulinasa kwa njia ya video ya simu yako, basi usisite kufanya hivyo na kisha tutimie kwenda namba 0753 715 779 (+255753715779).

SHARE NA ULIMWENGU wapate kufahamu kinachoendelea hapo ulipo. Tunalipa vizuri video za habari na matukio ya kwanza kutufikia. SUBSCRIBE NOW: https://www.youtube.com/user/GlobalPu… WHATSAPP: 0753 715 779.

 

TAZAMA SAMAKI HUYO HAPA

The post SAMAKI WA AJABU AZUA GUMZO BONGO – VIDEO appeared first on Global Publishers.