NEWS

2 Januari 2019

VIDEO: Ester Bulaya - Rais Magufuli mfukuze Waziri Mhagama hatufai



Waziri Kivuli wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Ester Bulaya, leo Januari 2 amemtaka Rais Magufuli kumtumbua  Waziri Jenista Mhagama, kama alivyofanya kwa Mkurugenzi wa SSRA, Irene Isaka.

Bulaya amesema Mhagama ndiye aliyetunga sheria ya kikokotoo na kuisimamia itekelezwe hivyo kumuondoa Mkurugenzi pekee bado hajamaliza tatizo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI