Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Balozi wa Ethiopia nchini Mhe. Yonas Yosef Sanbe alipomtembelea leo tarehe 1 Februari, 2019 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Afisa Mwandamizi Ubalozi wa Ethiopia nchini Ndg. Tewodros Girma alipomtembelea leo tarehe 1 Februari, 2019 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Katikati ni Balozi wa Ethiopia nchini Mhe. Yonas Yosef Sanbe