Waziri wa Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Selemani Jfo amefunguka sababu za kuchelewa kumaliza ujenzi wa jengo la ofisi yake ikiwa ni siku mbili tangu Rais John Magufuli aagize Wizara hiyo ihamie kwenye jengo hilo hivyohivyo hata kama halijamalizika, Waziri Jafo ametii maagizo hayo ya Rais.
