NEWS

2 Aprili 2019

GOODBLESS LEMA, HALIMA MDEE, YAWAKUTA BUNGENI

Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge pia imemtia hatiani Mbunge wa Kawe, Halima Mdee kwa kulidharau Bunge kwa kuunga mkono kauli ya CAG kuwa Bunge ni dhaifu na hivyo apewe adhabu ya kutoudhuria mikutano miwili ya Bunge.

 

Aidha, Spika wa Bunge, Job Ndugai amemtaka Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema kuripoti kwenye Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kudhibitisha kauli yake kuwa Bunge ni dhaifu. Lema ametoa kauli hiyo leo Aprili 2, 2019 kwenye mkutano wa Bunge unaoendelea.

The post GOODBLESS LEMA, HALIMA MDEE, YAWAKUTA BUNGENI appeared first on Global Publishers.