NEWS

2 Aprili 2019

Hivi Hapa Viingilio vya Mechi ya Simba SC na TP Mazembe


Timu ya Simba SC imetangaza viingilio vya mchezo wao dhidi ya TP Mazembe kutoka DR Congo ambao utachezwa Aprili 6, 2019 uwanja wa Taifa Dar es Salaam.