NEWS

30 Aprili 2019

MAMBOSASA Alivyonasa Wezi Mafuta ya Transfoma – Video

KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum Kanda ya Dar es Salaam, Mambosasa amesema jeshi hilo limefanikiwa kuunasa mtandao wa wezi wa mafuta ya transfoma za Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) ambao wamekuwa wakiiba mafuta hayo kwa ajili ya kutengenezea oil fekin za injini, tofauti na tetesi zilizokuwa zikitolewa kuwa ni kwa ajili ya kupikia chips.

VIDEO: MSIKIE MAMBOSASA AKIFUNGUKA

The post MAMBOSASA Alivyonasa Wezi Mafuta ya Transfoma – Video appeared first on Global Publishers.