NEWS

27 Aprili 2019

SIMBA YAIPIGA BIASHARA UNITED 2-0, BOCCO ATUPIA

 

Timu ya Simba leo imeimbuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Biashara United katika mchezo  wa Ligi Kuu Bara uliopigwa Uwanja wa Karume, Musoma. Manao ya Simba yamefungwa na John Bocco dakika ya 33 na 40 kipindi cha pili.

Katika mchezo huo  kiungo wa Simba, Haruna Niyonzima alitolewa nje kwa kadi nyekundu dakika ya 75

 

 

The post SIMBA YAIPIGA BIASHARA UNITED 2-0, BOCCO ATUPIA appeared first on Global Publishers.