Rais Mpya wa Tanganyika Law Society (TLS), Dr Rugemeleza Nshala amesema atahakikisha anayaendeleza yote yale mema ambayo viongozi wengine wameyafanya na kusimamia sheria bila kuonea mtu yeyote. TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE