NEWS

21 Mei 2019

Bus la Arusha Express Lateketea kwa moto

Bus la Arusha Express lawaka moto Bukoba eneo la kwa kagambo mda mchache baada ya kuanza safari lakini abira wote watoka salama.