NEWS

21 Mei 2019

Prof. Assad Aula Aingia Mkataba na Sweden Kukagua Miradi yote Ambayo Tanzania Inashirikiana na Sweden


Sweden imeingia mkataba na CAG Prof Mussa Assad ambapo kwa Muda wa miaka 3(2019-2022) atakagua miradi yote Sweden iliyokubaliana kushirikiana na Tanzania