NEWS

30 Mei 2019

Tanzia: Mama Mzazi wa Muimbaji Isha Mashauzi Afariki Dunia Mazishi Kufanyika Leo

Muimbaji wa taarab nchini Bi. Rukia Juma, ambaye pia ni mama mzazi wa msanii Isha Mashauzi, amefariki dunia leo Mei 29, 2019 akiwa njiani kuelekea hospitali ya taifa Muhimbili kwaajili ya matibabu.