NEWS

29 Septemba 2019

Fiesta Mwanza: Dk 7 Za Mr Blue Jukwaani, Afunga Dimba Kibabe -Video

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Heri Samiry maarufu kwa jina la ‘Mr Blue’, usiku wa kuamkia leo ametoa burudani ya nguvu kwa mashabiki wake katika Tamasha la Tigo Fiesta 2019 ambalo limefanyika katika katika Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza.

Mastaa waliopanda kwenye jukwaani ni Rich Mavoko, Maua Sama, Lulu Diva, Nandy, Marioo, Lunya, TID, Mr Blue, kundi la WEUSI na wengine wengi.

TID ALIVYO SIMAMISHA WAKAZI WA MWANZA USIKU WA FIESTA

The post Fiesta Mwanza: Dk 7 Za Mr Blue Jukwaani, Afunga Dimba Kibabe -Video appeared first on Global Publishers.