NEWS

27 Septemba 2019

Mwalimu Afumaniwa na Mke wa mtu, DC Atuma Polisi Kumuokoa



September 25, 2019 Mwalimu mmoja Wilayani Itilima Mkoani Simiyu amepigwa na wananchi wenye hasira kali baada ya kufumaniwa na Mke mtu usiku wakiwa wanagonoka.

Mkuu wa Wilaya hiyo Benson Kirangi amesema kwamba tukio hilo ni la kweli na baada ya kupata taarifa hizo kutoka kwa msamaria mwema aliyempigia simu na kumwelekeza eneo la tukio alimpiga simu OCD ambaye alituma kikosi cha askari kumuokoa ambapo walikuta anapigwa na raia hao.

Inadaiwa kuwa Mwalimu huyo amehifadhiwa sehemu ili ahamishiwe kituo kingine cha kazi mbali na eneo hilo.