Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Malinyi mkoani Morogoro, Majura Mateko Kasika na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Mussa Mnyeti.