NEWS

30 Septemba 2019

Rais Magufuli leo Kupokea Taarifa ya Waliomba Kutubu na Kurejesha Fedha Katika Kesi za uhujumu uchumi


Rais Magufuli leo kupokea taarifa ya waliomba kutubu na kurejesha fedha katika kesi za uhujumu uchumi
Posted On: September 30, 2019 5:41 Am GMT+0000 Posted By: Beatrice Comments: 0
Rais John Magufuli atapokea taarifa ya utekelezaji wa ushauri alioutoa wa kusamehe watuhumiwa wa uhujumu uchumi walio tayari kutubu na kurejesha fedha.

Kwa mujibu wa taarifa ya Ikulu imeeleza kuwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), Mganga Buswalo, atawasilisha taarifa leo majina ya saa 3:30 asubuhi