NEWS

3 Oktoba 2019

ACT Wazalendo Kufungua Kesi Kupinga Uteuzi wa Mkurugenzi NEC

Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema chama hicho kimemuagiza wakili, Jebra Kambole kuangalia misingi ya kisheria ili kufungua kesi ya kupinga uteuzi wa mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk Wilson Mahera.

 

Ametoa kauli hiyo jana Jumatano Septemba 2, 2019 muda mfupi baada ya kutoka kusikiliza kesi ya kupinga ukomo wa urais iliyofunguliwa na Dezydelius Mgoya ambayo chama hicho kimeomba kujumuishwa.

The post ACT Wazalendo Kufungua Kesi Kupinga Uteuzi wa Mkurugenzi NEC appeared first on Global Publishers.