Kijana Hamad Awadhi, aliyeripotiwa wiki chache nyuma na Global TV akihitaji msaada kutokana na kusumbuliwa na maradhi yaliyomsababishia kuishi kw kupumulia gesi, amefariki dunia jioni usiku Oktoba 17, 2019.
The post Bad News: Kijana Aliyekuwa Akipumulia Gesi, Afariki Dunia – Video appeared first on Global Publishers.