NEWS

11 Novemba 2019

Diamond, Wizkid, Tiwa Savage Walivyotinga After Party

Baada ya kuwasha moto kwenye Tamasha la Wasafi Festival usiku wa kuamkia jana Novemba 10, 2019, katika Viwanja vya Posta Kijitonyama, mwanamuziki Diamond Platnumz, na wanamuziki kutoka Nigeria, Wizkid, Tiwa Savage na Meddy, wamefanya Bonge la shoo ‘After Party’ usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Element jijini Dar es Salaam.

 

The post Diamond, Wizkid, Tiwa Savage Walivyotinga After Party appeared first on Global Publishers.