NEWS

10 Novemba 2019

Full Video: SHOO ya DIAMOND PLATNUMZ Wasafi FESTIVAL DAR

Msanii wa muziki Diamond Platnumz amefanya shoo ya aina yake katika Tamasha la Wasafi Festival ambalo limefanyika usiku wakuamkia leo Novemba 10, 2019 katika Viwanja vya Posta Kijitonyama jijini Dar es Salaam.

The post Full Video: SHOO ya DIAMOND PLATNUMZ Wasafi FESTIVAL DAR appeared first on Global Publishers.